Ulinzi wa Mtoto Shuleni kwetu

ABC School

Kwa taarifa zaidi kuhusu ulinzi wa Mtoto shuleni kwetu au kuzungumza na mtu yeyote kuhusu Ulinzi wa Mtoto, tafadhali tuma taarifa hapa.

Zie

ABC School Lead

+65 12345678

zie@abcschool

Sera ya Ulinzi wa Mtoto wa Shule

TEMBELEA
Pakua Kitini

Taarifa Muhimu za Ulinzi wa Mtoto

  • Shule yetu inazingatia Ulinzi wa Mtoto.
  • Kuwa dhaifu kunawafanya watoto wawe rahisi kupatwa na madhara na hatari, kushindwa kujilinda na hivyo kuathiriwa zaidi na unyanyasaji.
  • Shule yetu ina sera, taratibu na mifumo ya kuifanya jumuiya yetu ya shule kuwa salama zaidi kwa watoto.
  • Jukumu hili litafikiwa vyema kupitia maadili yetu shirikishi ya Ulinzi wa Mtoto ya Kujitolea, Uratibu, Ushirikiano, na Mawasiliano.
  • Tabia na matendo yetu ni vigezo muhimu katika Ulinzi wa Mtoto katika jumuiya ya shule yetu.
  • Ulinzi wa Mtoto ni dhamira na hatua zinazochukuliwa kuwalinda watoto dhdi ya unyanyasaji.
  • Ulinzi wa Mtoto katika shule yetu husaidia kuzuia Unyanyasaji, unyanyasaji usitokee, na kuwasaidia watoto ambao waliwahi kunyanyaswa.
  • Watu wazima wote katika jumuiya ya shule yetu wana wajibu wa pamoja wa Ulinzi wa Mtoto.
  • Tunawahimiza wanamajumui wote wa shule kuripoti maswala ya Ulinzi wa Mtoto.
  • Na tumejitolea kuweka mahitaji ya watoto wetu katikati ya maamuzi yetu yote.
.

Maadili Yetu ya Pamoja ya Ulinzi wa Mtoto

Kujitolea

Kujitolea

Uratibu

Uratibu

Ushirikiano

Ushirikiano

Mawasiliano

Mawasiliano
.